Pages

Saturday, September 14, 2013

IRENE UWOYA AFUNGUKA BAADA YA KUDAIWA KUIBA SIMU NA KUTIWA MBARONI.

Actress Irene Uwoya amejibu mapigo ya kudaiwa kuiba simu aina ya i phone 5 toleo jipya ambapo habari hiyo imeripotiwa leo katika gazeti la Risasi na kutawala mitandao mingi. Uwoya amesema kuwa chanzo cha kuandikwa hivyo ni kuvunjwa nguvu katika harakati zake na kesi aliyomfungulia Shigongo ipo kama kawaida na hawezi kuiacha. kupitia Instagram Uwoya ameandika "Mi ni mti wenye matunda milele siogopi kupigwa mawe…Shigongo kaamua kunichafua coz nina kesi nae mahakamani…anadhani nitaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wa siku sheria itafuata mkondo wake….mi na yake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali"  kama hukosoma habari hiyo isome hpa HAPA


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new

1 comment: