Tuesday, September 17, 2013
IPO SIKU NITAONGEA UKWELI KUHUSU SHIGONGO NA USHAHIDI PIA NITATOA: IRENE UWOYA
Jumamosi ya wiki iliyopita gazeti la Risasi ambalo linamilikiwa na Globalpublishers lilikuwa na habari ya actress Irene Uwoya kudaiwa kuiba simu. Uwoya anadai kuchafuliwa na Shigongo na ipo siku ataweka kila kitu wazi ili watu waujue ukweli. Kupitia Instagram Irene ambaye mwaka huu ameonekana kwenye filamu nyingi na kuanzisha kipindi cha Tv cha Paradise aliandika......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment