Friday, September 13, 2013

DEMU WA KENYA ANAYEDAIWA KUWA MPENZI WA DIAMOND AJICHORA TATTOO YA DIAMOND.

Angel Maggie ambaye ni demu wa Kenya anayedaiwa kuwa mpenzi wa mwanamuziki superstar wa Tanzania Diamond Platinumz amejichora tattoo ya madini ya almasi(Diamond) kuashiria ni kwa jinsi gani anavyompenda mwanamuziki huyo kwa mujibu wa mitandao ya kenya. Pia inadaiwa hivi karibuni wawili hao walikuwa bega kwa bega Nairobi na Mombasa wakati Diamond alipokuwa na show nchini humo na kwa mujibu wa mitandao ya huko iliripotiwa Angel kupata nafasi ya kulala na Diamond. Angalia tattoo hiyo hapo chini...

                                                          Angel
tattoo aliyojichora na hapo chini akiwa na Diamond
                                 akiwa na Diamond

 Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new

No comments:

Post a Comment