Mnyama unyamani....
Thursday, August 29, 2013
WEMA SEPETU ALIVYOTAMBULISHA WASANII WAKE CLUB BILLICANAS (PHOTOS)
Ilikuwa weekend iliyopita Club Billicanas ambapo Wema Sepetu aliwatambulisha rasmi wasanii walio chini ya kampuni yake ya Endless Fame ambao ni wanamuziki. Na hapa ndipo muigizaji Aunt Ezekeil alipokatwa kwa chupa na mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Yvonne. Jionee picha................
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment