Rose Ndauka |
"Lucy alipojuana na Prince akamchukua Rose kisha wote watatu wakaenda Ghana eti kushuti filamu. Wakiwa huko sijui walimwaga sumu gani na hapo ndipo uhusiano wa Mona na Prince ulipoanza kufifia.
“Mona akashangaa ila akapotezea na hata Lucy na Rose waliporudi hawakuwa wakimchangamkia mwenzao, wakaanza kumchunia mpaka sasa"
Baada ya kuzipata nyeti hizo, mwandishi alimtafuta Monalisa ambaye alipopatikana alikiri kuwepo kwa ‘mnuno’ kutoka kwa wasanii wenzake hao, akasema chanzo ni Prince.
"Niliamua kuachana na Prince kwa kuwa niliona ana tamaa na wasanii na nashangaa Rose na Lucy nao wanavyonichunia, ingawa kiukweli sikupenda kabisa kuongelea suala hili kwani sipendi shari" alisema Monalisa. Rose alipoulizwa alikuja juu na kudai hajawahi kuwa na ukaribu na Monalisa. Lucy hakuweza kupatikana kufungukia madai hayo.
Monalisa
Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment