Too casual mboto kama uko mtaani bwana!, Chiki hukupangilia rangi vizuri kabisa, angalia suruali yako na shati na umeongezea na kizibao cheupe na bow tie ya pink !
looks dashing Kajala.........
Salma Jabu(Nisha)... huko usoni kama ulikuwa na kibarua cha kupaka chokaa!, poda kibao. We think mtindo wa hilo gauni haukuwa mbadala kwako maana umekufanya unyooke kuanzia juu mpaka chini. vile vile mtindo wako wa nywele haukuendana na mtindo wa gauni. Gauni limeanzia shingoni hivyo basi nywele zako ungezibana kwa juu ili shingo yako na mtindo wa gauni uonekane vizuri
Too casual Ray ! kiukweli pia una-bore sana na hizo hereni zako kila eneo unazo. na style ya nywele zako kuziweka dawa muda wote unakosa mvuto mpya mbele ya mashabiki wako.
ohh.. Wastara ! we think gauni lipo kawaida sana na halijakupendeza kivile ingawa tunajua unapenda kuvaa nguo ndefu. Huko shingoni na bangili mkononi ! we think usingevaa hivyo vitu zaidi kama uliamua kuvaa hilo gauni !. Fikiria kuingia gym pia maana mwili unakuja huo licha ya kujaaliwa acting talent.
Halima Yahaya(Davina)....you looked fresh, nywele na make up zimekutoa vizuri.
Batuli and Halima Yahaya(Davina)
Chuchu Hans umependeza kwa juu lakini huko miguuni usingevaa kitu kama ulishavaa shingoni tayari ili kuepuka ku-accesorize sana, rangi ya viatu hatuna uhakika nayo labda ungevaa tu vyeusi au vyeupe hata kama ulitaka color blocking. We like your dress of african and western touch but ungezibana nywele zako ungeonekana moto zaidi. Na mwenzetu wa hapo pembeni usingevaa kitu mkononi na shingoni ingekuwa poa zaidi, hiyo ni red carpet usivae kila ulichozoea.
Jackline Wolper...we love your sexy dress, make up na huko mkononi and you look fresh but hizo hereni masikioni ! plus you have gained some kilos so think about kwenda gym.
You look good Joti mpaka Sandra anataka kupiga picha na wewe lakini hiyo tie hujaiweka vizuri hapo shingoni !
mother and daughter...Natasha and Monalisa ! tumependa hizo nywele and umependeza lakini ungetuangalia basi ! halafu huko shingoni usingevaa kitu Mona!. Natasha kwa umri wako no comment....... tuseme sawa.
Lulu's hairdo at the movie premiere..................
We like it Lulu........................!
Hee......umevaa vitu gani Efranciah Mangii..! No...ungevaa gauni la rangi moja pekee ingekuwa poa kwa kuwa hilo lenye maua maua ulilovaa juu limedizi kukufanya uonekane mnene zaidi na hiyo tight na flat hapo sio mahali pake kabisaaa ! na hicho kibanio kichwani na huko shingoni na mkononi......BIG No !. ushauri wa bure gym na diet inakuhitaji sana.
JB.......leo tunakuacha kama ulivyo lakini siku nyingine ni makavu live !
Leah Mwendamseke(Lamata) wewe ni director mzuri lakini hapa umechemsha ! huo mtindo wa nywele ni mzuri lakini umeugawa katika mafungu mawili ambapo umeonekana kama mtoto, usoni, mdomoni, nguo ya juu na huko miguuni hiyo ni hapana katika red carpet acha mazoea mamaa!
Kulwa Kikumba(Dude) tuseme umetoka simple na hilo jeans sio mbaya sana umependeza ila ungefunga tu hivyo vifungo vya koti !.
Single Mtambalike(Rich) umependeza lakini hiyo miwani hapakuwa mahala pake hapo, Johnson Lukaza you look good, Steve Nyerere huko nguo nzuri but not sure na hicho kinachoning'inia labda ni skafu, mhh..huko kichwani kama ulitaka mtindo wa afro basi ungefuga nywele zako halisi tu !. Haji Adam(Baba Haji) ulivyovaa ni BIG No!
Julieth Samson(Kemmy) no doubt that you are one of the best actresses in the industry and we like your look kwa kuchagua kutoka kiafrika uko poa ukifikiria tunajua tayari kuwa umeokoka na hunaga mbwembwe kwenye mavazi.
According to you who was your best and worst dressed star at the event?
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new
Kaka badilisha rangi ya blog yako inaboa sana weka orange itangaa vizuri la pili nakupongeza kwa kuwapa ushauri wasanii waliovaa hovyo na nakupongeza kwa kuwapa sifa zao kwa walioutendea haki usiku huo, kwangu mimi namba 1 ni Batuli kwa ufupi tu Batuli wewe ni kiboko yao hata wakipinga haisaidii namba 2 ni Wema na 3 ni Kajala wengine wameboronga maoni yangu ni kwa wanawake tu.
ReplyDeleteAhsante sana kwa maoni yako and tunafanyia kazi rangi ya blog ikiwemo orange ulopendekeza ili kuangalia kama itakaa vizuri maana bado tupo kwenye marekebisho ya blog ili iwe bora zaidi. Tunajali sana maoni yenu wadau.
Deletena mimi pia naifagilia hii blog, na ushauri unaotoa ni mzuri sana msisitizo mambo ya "gym" kwa wadada naona wengi wetu wamajiachia mno. unkauta mtu sura nzurii, make up nzuroo gauni zuriii ila mwili wake haukukubaliana na vazi. Nice work bro wewe ndio our "safhion police" hapo bongo. Big up !!
ReplyDeleteahsante sana. i apriciate and ni kweli kupeana ushauri ni muhimu hasa ule unaojenga.
DeleteBatuli kafunika 100% nilikuwepo kwenye uzinduzi nilishangazwa na jinsi Wema na Kajala walivyo force umaarufu in short wema ulichemsha kujiiinua mara kumlilia mama kanumba mara umemtunza shughuli ya Lulu wewe unatafuta kuonekana jirekebishe acha kuforce news tuliokuwa karibu yako tulikushangaa sana wenzio walitulia walikaa kistar no mashauzi
ReplyDeletenimefurah ambavyo wasanii kujitokeza kwa wingi kumsapoti mwenzao kwel wameonyesha ukomavu...kiukwel Batuli alipendeza na lulu mwenyew na nisha tho hujamweka hapa
ReplyDeleteseriously,celebrities need 2 take red carpet seriously....wolper ur gaining 2much weight mpk unakua hupendez tena...lulu rocked...na wa kiume emb kuen serious hv m2 utavaeje bukta kweli...y dont we learn kwa wenze2 ambao washafanikiwa kwny hii sekta....n bro big up kwa ushauri ulowapa...kuna umuhim wa FASHION POLICE nshaona...
ReplyDelete