Thursday, August 29, 2013

MWANAMUZIKI RAY C ABATIZWA RASMI (PHOTOS).

Mwanamuziki maarufu wa Bongofleva Rehema Chalamila maarufu kama Ray C leo maebatizwa rasmi na hivyo kuwa katika maisha mapya. Ray C hivi karibuni alikuwa katika matibabu ya matumizi ya madawa ya kulevya na baada ya kupona ametangaza kurudi kwenye muziki na sasa yupo gym akipunguza mwili wake ili kujiandaa kuanza kutawala jukwaa kama zamani. Kupitia Instagram Ray C alipost picha zinazoonekana hapo chini akibatizwa...........

 Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment