Muigizaji maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) na mama Kanumba(Flora Mtegoa) kwa mara ya kwanza wanakuja na filamu inayoitwa Mapenzi ya Mungu. Katika filamu hiyo waigizaji wengine ni Linah Sanga ambaye ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva na Sudi Ali. Angalia baadhi ya picha za behind the scenes za filamu hiyo.....................
Lulu na Linah
Mama Kanumba, Sudi Ali na Lulu wakiwa location
Linah
photos credit: Ismail Sal Feisal
Like our facebook page Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment