Pages

Sunday, August 25, 2013

LULU APEWA KIBALI RASMI NA BODI YA UKAGUZI WA FILAMU KWA AJILI YA FOOLISH AGE.

Filamu ya Foolish Age ambayo yupo Lulu, Diana Kimaro, Jengua na Hashim Kambi itazinduliwa tarehe 30 mwezi huu katika ukumbi wa Mlimani City. Kupitia Instagram Lulu ameandika hivi...

Like our facebook pages Swahili World Planet Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment