“HAPPY BIRTHDAY.. mwanaume unaefanana na mwanaume wa maisha yangu, mwanaume nnaempenda kuliko chochote duniani,mwanaume alienifanya nisione mwingine duniani zaidi yake,mwanaume akiyenipunguza kilo kumi ndani ya siku 20,(mind ur own bizzness usiniulize kwanini), ninapokuangalia ww namuona yeye,, HAPPY BIRTHDAY my Lusungu my Fernandoo .. my Mathias,, maisha mema na yenye baraka tele yawe mbele na nyuma yako..”
Hemedy ameigiza filamu nyingi na ametoa nyimbo kadhaa pia tangu alipoibukia katika shindano la Tusker Project fame miaka michache ilopita. Yeye na Nisha pia wameigiza filamu kadhaa pamoja kama vile Red Cross, Matilda, Tikisa na nyinginezo
Happy birthday Hemedy.
Hemedy na Nisha katika moja ya filamu walizoigiza pamoja.
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment