Friday, August 9, 2013

BEHIND THE SCENES OF GENDER EQUALITY STARRING SHERY MAGARI, EFRANCIAH MANGII, MROPE ZAKAAZ ELIAKIM (PHOTOS)

Filamu mpya ya Gender Equality imewakutanisha waigizaji mbalimbali ambao wengine ni mastaa tayari na wengine chipukizi. Waigizaji hao ni Shery Magari ambaye anatamba na filamu nyingi sokoni hasa na vichekesho na pia katika Vituko Show Chanel Ten, mwingine ni Efranciah Mangii ambaye alitamba katika Maisha Plus season 2, Mrope Zakaaz Eliakim ambaye pia ndiye producer wa filamu hiyo na chipukizi Godknows Minja. Filamu imeongozwa na Hans wa Madonta. Angalia picha za behind the scenes.............


Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment