Pages

Saturday, August 3, 2013

AMANDA POSHY AWACHANA WASANII WANAOONA KUFUTARISHA NI FASHENI NA NJIA YA KUJIPATIA UJIKO.

"Hivi kufuturisha ndio imekuwa fasheni na habari ya mjini kwa sasa???maana naona kila msanii anafuturisha na akifuturisha basi lazima atolewe magazetini....jamani swawabu zitatoka wapi hapo???sasa tunafuturisha kwa nia moja au ndio kutaka masifa???jamani wasanii tubadilike tuache kumuona Mungu babu yetu" aliandika Amanda katika mtandao wa facebook.
 Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment