Pages

Wednesday, July 31, 2013

WEMA SEPETU AND MWINYI AHMED .......!

Hapo pichani ni Wema Sepetu akiwa na Mwinyi ahmed ambaye ni model maarufu nchini wakiwa katika pose matata ingawa haikujulikana mara moja kama picha hiyo ni mpya au ya muda kidogo. Lakini iwe mpya au ya muda kidogo wewe wawaonaje katika hilo pose au labda ni scene ya filamu.......!. Mwinyi aliweka hiyo picha leo facebook.

Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies' latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news


No comments:

Post a Comment