Pages

Tuesday, July 30, 2013

WEMA SEPETU AFUTARISHA WATU MBALIMBALI NYUMBANI KWAKE(PHOTOS).

Wema Sepetu ambaye ni actress na Miss Tanzania wa mwaka 2006/2007 jana alifutarisha watu nyumbani kwake kijitonyama huku pia mastaa mbalimbali kama vile wa filamu, muziki na mitindo wakijumuika nae katika tukio hilo lenye baraka hasa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, Mungu akuzidishie Wema. Angalia baadhi ya picha hapo chini....................

images by: bongo5
Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies' latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment