“Sitaki kufikiria matatizo wala nini, kilichotokea ndio kimetokea...
"Najipanga upya ili niendelee na maisha mengine. Vingapi vizuri vimetokea nyuma ?
"Tokea nilipokuwa mtoto mdogo nani alikuwa ananijua? Sasa hivi nipo peace , nashukuru kwamba mmenipokea vizuri.
"Naendelea na maisha, uzuri nimepata platform ya kutengezeza jina langu, kwahiyo naenda hivyo hivyo mpaka huko ntakapofika.”
Nando alikuwa anapewa matumaini ya kuingia final na hata kutwaa zawadi ya kitita cha dollar za kimarekani.
Like our facebook page Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies' latest news, gossip,
celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood
news
No comments:
Post a Comment