Pages

Saturday, July 27, 2013

NANI ZAIDI: BATULI OR IRENE UWOYA?

Hii ni picha ya hivi karibuni ambayo imetoka ikiwaonyesha waigizaji maarufu wa Swahili movies Yobnesh Yusuph(Batuli) na Irene Uwoya. Hapo ilikuwa katika set ya filamu mpya inayokuja inaitwa Bad Luck Batuli akiwa mmoja wa waigizaji wakuu, Uwoya hayupo kwenye hiyo filamu ila alipita tu kuangalia wenzake wanafanya nini.  Hawa waigizaji wote wawili ni maarufu, wazuri na warembo, pia wote wameigiza kwenye filamu nyingi na mastaa mbalimbali, kwa mara ya kwanza Irene Uwoya alijipatia umaarufu baada ya kuigiza katika filamu ya Oprah akiwa na Ray na marehemu Kanumba wakati Batuli alijipatia Umaarufu baada ya kuigiza filamu ya Fake Smile akiwa na marehemu Steven Kanumba. Batuli ni mama wa watoto wawili mmoja ana miaka 9 na mwingine miaka 5 wakati Irene Uwoya ni mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 2. Ukiachana na hayo yote nani unahisi ni mkali katika urembo, suala zima la fashions na kuigiza kwa ujumla bila kujali umaarufu wao au wingi wa filamu walizoigiza?
                                            kushoto ni Batuli na kulia ni Irene Uwoya
 
Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.




18 comments:

  1. Batuli no1 sababu ni 1 tu havai nusu utupu

    ReplyDelete
  2. Irene zamani siku hizi kawa mzee, Batuli ni mama wa watoto 2 halafu bado anadai wajipange sio muangaliaji sana wa film za kwetu but my side Batuli zaidi. I'm Janeth Kiwia

    ReplyDelete
  3. We mwenye hi blog umekosa kazi ya kufanya? Unapambanisha danguro na nyumba ya ibada? Aaagh nitakuchapa makofi kura yangu nampa Batuli huyo irene kura yake kachukue kwa diamond. Hamisi wa Tai village

    ReplyDelete
  4. Irene acheni upendeleo kwani akivaa nusu uchi mwili wenu? SAMIRA

    ReplyDelete
  5. Batuli wa Bosco. Mimi james

    ReplyDelete
  6. Uwoya moto karibu njombe

    ReplyDelete
  7. She is a good actress to me, who???????? Batuli batuli batuli batuli batuli batuli

    ReplyDelete
  8. Uwoya.no 1..aliyewaambia batul avai utupu nani? Huwa anaweka picha istagram kinguo cha ajabu na mikao ya asara asara wadau wakianza kumponda anatoa fasta

    ReplyDelete
  9. Namba 1 Batuli nyie mnaosema anaweka picha mbovu wanafiki wakubwa nimepitia mbona hana huo mkao qa hasara? Acheni wivu mpe mtu haki yake sasa kabisa kiakili leo kaka yako akuletee mawifi 2. Batuli na Uwoya utamchagulia uwoya? Pxiiiiiiuuuuuuuuw peleka shombo huko uwoya changu, mvaa ovyo, mwanamke aliyethubutu kuvunja ndoa yake kwa mikono yake 2 huyo nae ni wa kumshindanisha na mtu? Hapa tunachangia Kuanzia kwenye Kazi + Urembo + Tabia kalagabaho Uwoya atafutiwe wa kushindana nae labda Aunt Ezekiel. Samira

    ReplyDelete
  10. Nimeanzia kanisani la sivyo ningemwaga lugha mbovu mwanzo mwisho. Naanza kwenu nyie mnaotoa kura kwa uwoya ni kura zipi? Za uhuni au za kukaa naked kila siku? My vote goes to Queen of Bongo Movie Batuli. Naomba muangalie nyakati kila mtu na wakati wake, Uwoya alilewa sifa kikazi kashuka kama Aunt Ezekiel cha msingi ni kukubali kuwa kwa sasa Batuli ndio anakuja mimi ni shabiki # 1 wa Aunt lakini penye ukweli nasimama kwenye ukweli Batuli zaidi angalia picha zake kwenye Bad luck she is hot.

    ReplyDelete
  11. Batuli usilewe sifa

    ReplyDelete
  12. Irene anaongoza huyo Batuli simjui msinichambue bureeeee namjua ila irene 1

    ReplyDelete
  13. Shukuru umejisalimisha tungekunawa hadi ujute natembea sana ndani na nje ya nchi batuli anapendwa sana muulize shilole kaja USA aliambiwa nini kuhusu batuli arakujibu salute kwako batuli. Samira

    ReplyDelete
  14. mmmh mwenzenu nlikua sijaona hata kwa sura tu Batuli namba moja

    ReplyDelete