Many don't know that actor/musician Hemed Suleiman and Model/actor Em Evans are relatives. Em Evan's real name is Salim Suleiman though he is known as Em in the showbiz. Mama na baba yao ni mmoja ingawa baba yao tayari alishatangulia mbele za Haki. Hemed ndiye mkubwa. Pia kuna filamu mpya inakuja wameigiza pamoja wakiwa na Gery wa Rymes. Hata hivyo licha ya kuwa ndugu wanaonekana kutofautiana muonekano wa nje na hata kitabia. Em ana mwili wa mazoezi zaidi huku kaka yake Hemed akiwa na mwili wa kawaida, Pia Hemed ni maarufu sana kuliko Em ambaye umaarufu wake unaanza kukua hasa baada ya kujitosa kwenye filamu. Kabla ya filamu Hemed alianzia kwenye muziki na kwa upande wa Em ameanzia kwenye modelling na kutokea kwenye shows kubwa kama Swahili Fashion Week na sasa amejitosa kwenye filamu. Angalia picha zao....................
Em Evans(Salim Suleiman)
Hemed Suleiman
No comments:
Post a Comment