Wema Sepetu anasemekana kupata deal la kuwa brand ambassador wa Kampuni ya nywele ya Darling Hair ambayo ni maarufu sana nchini kwa nywele bandia za kinadada. Wema atakuwa msemaji wa bidhaa za kampuni hiyo na pia picha zake kutumiwa katika matangazo mbalimbali. Pia inasemekana Wema atapata pesa nzuri kutoka katika mkataba wa deal hilo. Hii ni hatua nzuri kwa actors wa Swahiliwood kujiongezea mapato kupitia matangazo ya makampuni mbalimbali kama mastaa wenzao wanavyofanya kutoka nje. Kikubwa ni mastaa wetu kujiheshimu ili wasijekutia doa makampuni hayo kwa skendo zao za mara kwa mara. Hongera Wema Sepetu. Angalia picha..............
No comments:
Post a Comment