Monday, May 13, 2013

SLIM OMAR TO ROMANCE BATULI IN COAST TO COAST.

Slim Omar anakuja na filamu yake ya Coast To Coast akiwa amecheza kama police yeye na Stara Thomas. filamu hiyo imerekodiwa Tanga, Zanzibar, Arusha na Dar es salaam. Slim amesema kuwa mashabiki wake wakae mkao wa kumuona tofauti kwa kuwa anakuja kivingine kabisa. In the film actress Yobnesh Yusuph(Batuli) is playing Slim's love interest so inasubiriwa kwa hamu kama wataweza kutengeneza screen pair nzuri kama alivyofanya Slim na Jenifer Kyaka(Odama) katika Family War. Mastaa wengine katika hiyo filamu ni pamoja na Wastara Juma aliyecheza kama dada yake Slim Omar, pia yupo Mohamed fungafunga(Jengua), Ahmed Ulotu na wengineo.


No comments:

Post a Comment