Friday, May 3, 2013

NISHA AWAZAWADIA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YAKE YA FILAMU.

Habari za uhakika ni kuwa actress Salma Jabu(Nisha) ametoa zawadi kwa wafanyakazi wa kampuni yake ya kutengeneza filamu ya Nisha's Films Production kutokana na mchango wao mkubwa katika kampuni hiyo. Nisha tayari ameshatengeneza filamu kadhaa kupitia kampuni hiyo na pia katika filamu ya Matilda iliyotengenezwa na kuongozwa na Mtitu Game actress huyo alitoa performance nzuri. Picha za tukio hilo utazipata hapa hapa Swahiliworldplanet endelea kutembelea.....

Tungependa pia kumpongeza muigizaji huyo kwa kitendo hicho maana kitazidi kuwaongezea wafanyakazi hao ari ya kufanya kazi zaidi.


No comments:

Post a Comment