Mtangazaji maarufu nchini Millard Ayo amepata shavu la kufanya kazi na DST nchini South Afrika akiwa kama ripota wa matukio ya Tanzania. Alienda huko kwa interview maalum na hatimaye kushinda. Aliandika hivi "watu wangu wa nguvu nimepata kazi ya kuwa ripota wa DSTV South Africa nikiiwakilisha Tanzania! Asanteni kwa support watu wangu!.......ni habari njema sana kwangu leo hii"
Mtangazaji huyo kijana amekuwa inspiration kwa vijana wengi.
Tunamtakia kila la kheri katika kazi yake mpya.
all da best bro
ReplyDelete