Tuesday, May 14, 2013

JOKATE MWEGELO AND DENRELE WA NIGERIA KUWA WATANGAZAJI WA PROGRAM MPYA CHANNEL O

Jokate Mwegelo soon ataonekana katika Tv show mpya ya chanel O inayotarajiwa kuanza kurushwa kwa watazamaji tarehe 15 june. Katika show hiyo the multi-talented Jokate atakuwa na mtangazaji maarufu wa Nigeria Denrele wote wakiwa kama watangazaji wa show hiyo. Kwasasa Jokate ambaye pia ni fashion designer na actress yupo nchini South Africa wakishoot show hiyo. Jionee picha...................

 
Jokate with Denrele

No comments:

Post a Comment