Saturday, May 11, 2013

JACKLINE WOLPER: JAMANI SINA MPANGO WA KUGOMBEA UBUNGE 2015 KAMA INAVYOVUMISHWA.

Swahiliwood sexy symbol Jackline Wolper has said that she has not any plans to enter politics and compete for parliamentary seat as it is rumored now.The popular actress added that she hates politics na haelewi watu huwa wanapata wapi habari hizo za uzushi kuhusu yeye. Baadhi ya watu wanasema Wolper anataka kugombea ubunge mpaka kufikia kuwekwa habari katika mtandao wa jamiiforum huku watu wakichangia na wengine kumshauri agombee ubunge wa viti maalum na siyo wa majimbo. Wolper aliiambia Swahiliworldplanet "noooo me sipend siasa wala cna chama sijui habar wanazitoa wap". Baadhi ya wasanii siku za hivi karibuni wameibuka kutaka kugombea ubunge na nafasi nyingine za kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao wakidai wanataka kuwakomboa walalahoi na kuwakomboa wasanii dhidi ya dhuluma na unyonyaji wa kazi zao, lakini wengine wakidaiwa kuwa lengo lao ni kufuata ulaji mjengoni na wengine wakipewa moyo na mashabiki wao kuwa wanaweza na kuwaamini katika harakati zao nje ya siasa pia.


No comments:

Post a Comment