Siku za hivi karibuni actress Jackline Wolper ameonekana na style mpya ya nywele ikiwa kawaida yake kwa fashion icon huyo wa Swahiliwood kubadilikabadilika katika mitindo yake ya nywele na nguo. Leo akiwa anacheza Netball ameonekana na mtindo huo vizuri. Jioneeeee................
No comments:
Post a Comment