Uzinduzi wa filamu ya From Tanzania To Denmark unatarajiwa kufanyika tarehe 8/6/2013 katika ukumbi wa Randers Fritidscenter nchini Denmark. Filamu hiyo imetengenezwa na Lucy Komba kwa ushirikiano na VAD Production ya Denmark. maandalizi ndiyo yanapamba moto kwasasa. Waigizaji wa filamu licha ya Lucy ni pamoja na Selembe Toko na Justine Zawadi na wengineo. mashabiki wa filamu za kiswahili nchini Denmark kaeni mkao wa kula. more info about the event utazipata hapa hapa endelea kutembelea SWP.
NICE ONE .......HAPPY PEOPLE ARE YOU READY!!!
ReplyDelete