Picha mpya za mnato zinaonyesha filamu mpya ya Dhoom 3 kutoka Bollywood ikishutiwa climax yake nchini Switzerland huku ikionekana kuwa na matukio ya hatari/stunts kwakuwa ni ya action. Pia vifaa ni vya kisasa sana. Filamu hii yupo Aamir Khan na Katrina Kaif in leading roles. Dhoom 1 na Dhoom 2 zote zilikuwa succesful critically and commercially hasa Dhoom 2 huku Hrithik Roshan aliyeigiza katika negative role akipata tuzo ya best actor kwa kucheza vizuri sana. Mishe mishe za filamu hii zilianza tangu january 2011 na inatarajiwa kuwa katika majumba ya sinema 25 December 2013 tayari ikiwa moja ya filamu zilizotawala sana kwenye vyombo vya habari na kusubiriwa kwa hamu kubwa. Filamu hii imeshutiwa Chicago nchini Marekani, India na sasa wapo Switzerland wakimalizia kushuti. Producer wa filamu ni Aditya Chopra huku director akiwa Vijay Krishna Acharya. Angalia picha za kushoot climax ya filamu hiyo nchini Switzerland...
Aamir Khan akiwa na mtaalam wa stunt
No comments:
Post a Comment