It seems Wema Sepetu will be in one film with Nollywood top actor soon. Cynthia Masasi wrote this on her facebook.
"CASTING CALL CASTING CALL CASTING CALL
CALL 0713-302-075 FOR DIRECTIONS AND OTHER INFORMATIONS ABOUT THE AUDITION OR EMAIL US RIMACY.GROUP@YAHOO.COM
PLEASE BRING 2 HEADSHOTS.
NB: GET TO WORK WITH THE BEST ACTRESS FROM BONGO WEMA SEPETU AKA
BEAUTIFUL ONYINYE AND A SUPPRISE FROM NOLLYWOOD :-) GUESS WHO????????"
hata hivyo bado haijajulikana kama muigizaji wa Nollywood atakuwa mwanamke au mwanaume. Katika uzinduzi wake wa filamu ya Superstar ilidaiwa kuwa Wema angeigiza filamu moja na Omotola Jalade ambaye alimualika katika uzinduzi wa filamu hiyo kama mgeni rasmi lakini mpaka leo hakuna kilichotokea. Na kama tangazo hapo juu linavyoonekana basi kama wewe ni muigizaji chipukizi nafasi ni hiyo kwa ajili ya kutimiza ndoto zako.
wema uko juu sana dada mungu azidi kukufungulia.
ReplyDelete