Thursday, April 18, 2013
WEMA SEPETU AFUNGUKA TENA INSTAGRAM AKIONEKANA KUUMIA SANA KWA ISSUE LAKE NA DIAMOND.
Baada ya inayodaiwa kuwa clip yake ya kulishobokea upya penzi la Diamond ambaye kwa sasa anakula bata na Penny. Actress Wema Sepetu ameandika yaliyo moyoni mwake tena kupitia instagram safari hii akionekana kuumia sana. Hata hivyo baadhi ya watu wanamlaumu Diamond kuwa bado hajakuwa kiasi cha kuanika mambo yake hata ya private kwani haimsaidii zaidi ya kujishusha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment