Saturday, April 6, 2013

WAZAZI WATAKA AMANDA POSHY AOLEWE ILI WAPATE MJUKUU.

 Parents of Swahiliwood actress Amanda Poshy wanataka muigizaji huyo sexy aolewe ili wapate mjukuu kiasi cha kumuombea dua. Hata hivyo Amanda mwenyewe anaonekana bado hajaamua suala hilo kwa sasa pengine ili afanye kweli katika tasnia ya filamu ambapo hivi karibuni amerudi kwa kasi akikimbiza sokoni na filamu yake ya Nyumba Nne akiwa na King Majuto na movies zake nyingine kibao zikiwa mbioni kutoka. Kupitia facebook Amanda alisema
"Du.....hii ss balaa....mamaangu leo kaamka asubuhi ananiombea dua niolewe anahitaji mjukuu.....hataki matani sasa anataka mjukuu....shuhuli leo na me sijapanga kutimiza hayo mambo leo wala kesho....bado np np kdg.....ukigeuka huku mdingi nae anataka mjukuu....kuna haja ya kufanya kikao na halimashauri yangu ya kichwaeee....au siyo frnds???"
 
 

No comments:

Post a Comment