Pages

Thursday, April 18, 2013

WATU WENGI WAMTETEA WEMA SEPETU, DIAMOND NA PENNY WAITWA WASHAMBA.

Issue ya Wema Sepetu kudaiwa kumpigia simu Diamond na mwanamuziki huyo kudaiwa kumrekodi na kumpa Penny simu azungumze na Wema halafu Diamond kuipeleka clip hiyo Clouds fm inaonekana kuwaudhi watu wengi hasa wanawake huku wakimuona Diamond na Penny kuwa ni washamba na hawakuelimika. katika mitandao ya kijamii na blogs nyingi Wema ametetewa huku Diamond na Penny wakipondwa vibaya kwa kitendo hicho kinachodaiwa kumdhalilisha Wema na actress huyo kujisikia vibaya sana na kuandika kabisa kupitia instagram na watu wengi kumuonea huruma Wema. Maoni ya watu wengi mitandaoni hasa wanawake ni kuwa Penny na Diamond walifikiria watamdhalilisha Wema pekee kumbe na wao wenyewe wamejidhalilisha na kuonekana hamnazo kwa kutoa siri zao za ndani hadharani. Wengine wameshauri Diamond kuwa na mshauri kabla ya kufanya au kusema mambo kwa kuwa vitendo vyake vingi vimekuwa vikimshusha na kuonekana ana upeo mdogo, watu hao walifikia kukumbushia matukio ya nyuma kwa Diamond kumdhalilisha Wema Mlimani City kwa mwanamuziki huyo kutunzwa na Wema na yeye kusemekana kumdhalilisha.

 Pia Diamond alimvishaWema pete Maisha Club lakini hakukuwa na jipya na leo anamdhalilisha mwenzake huku wakimpa Penny onyo na tahadhari kuwa "muosha huoshwa" kumaanisha kuwa aliyomfanyia Wema yanaweza kumtokea pia maana Diamond hana historia ya kudumu na mwanamke na yupo ili kuendelea kukuza jina lake kwenye media. Baadhi pia wamesema kuwa Penny hana mvuto kwenye media hivyo wanamtumia Wema kusudi ili waendelee kuwa kwenye media maana Wema ana nyota ya mvuto kuliko Penny na hata Diamond. Vile vile wengine wamemponda wazi wazi Diamond kuwa amekulia uswahilini hivyo baada ya kupata pesa anataka kutoka na kila star au msichana mzuri bila kujua kuwa wengine ni wachafu zaidi yake hivyo anaweza kuangukia pabaya na akaja kujuta siku zote za maisha yake wakati wapo kaka zake kwenye game wakiwa na pesa pia lakini wametulia na kujiheshimu kuliko yeye. Soma baadhi ya maoni ya watu hapo chini kuhusu soo hilo....................

"Dimond ''AKajipange xaana Na hao wanao Rusha clip zake kumuoshea watakesha,,,Now its yo tyme (Dimond) to fall Down,,, Wasukuma wanasema KUBALI YAISHE na kama hukubali Endelea kurusha hzo clips Hlf Mwisho Itaeleweka kati NYIMBO zako na CLIPS zipi zitaskilizwa sana,,Ujinga na Ulimbukeni ndo Tatizo Hta utoe nyimbo kumi kwa mwaka,, ''sisi Kah puuuuuuuuuuuuni'',,,,Hadi Utubu,,TUMEKUVUMILIA SAANA BT NOW HAAAA!!!!! UTAELEWA KUWA HII DUNIA SIO MALI YAKO CSE ULIJISAHAU SAANA,,, na kwa sasa HATA WAKUSHIRIKISHE VERSE YAKO HAIENDI KWETU, LABDA HAO WANAOKUOGOPA NA KUKUBEBA,,,Sasa umekuja na mpya Et unabembelezwa na wema yooote ni kwa kuwa aidha unataka kutoa track au umetoa track sasa unataka kuwapanga watu kupitia WEMA,,,,ACHANA NA WEMA WW JIBEBE MWENYEWE TUONE,, MBONA WEMA ANAJIBEBA MWENYEWE WALA HAKUTEGEMEI WEWE Ya nn uanze hadi kurecod maongezi yenu halafu utafute chombo cha habari tena kimoja, Uwape ili wakupandishe kihivyoooooo!!!!!! Huo ni mchemsho wa hali ya JUU,,,TUULIA SEHEMU MOJA KIJANA NDIO UNAPOTEA HVYO HAHAHAHAAAA;;;WEMA KIP IT UP,,, OMBA MUNGU ATAKUSAIDIA INNSHAALAH"

" real man hawez fanya alichokifanya yule jamaa!Shame on him"

" i dont even know what to say to you Wema! i wish Adul London angekuwa hai ndo angekwambia huyo jamaa ni mtu wa aina gani kwani anamjua vizuri sana na kwa kitendo hiki hasingekubali lazima angetumia hii nafasi kumshikisha adabu kwani watu tunajua ila tumenyamaza, inatubidi tuseme kutokana na anachukufanyia huyu mshamba! pole Wema kwa kuto kumjua huyo jamaa kiundundani kwani sio mwanaume kamili. kaa chini piga moyo konde na i promise to be yr side cos alinifanya nikakuchukia! ila sasa utakuwa umeanza kupata picha halisi ya huyo ( joka la kibisa ) you know what i mean ok."

" wema mamii keep ur head high,yo still young n talented,ucpoteze muda kudeal with stupid people,u av a bright future ahead,keep working hard ufike mpaka hollywood hlf wao wabaki kurecord clip zao,m so dissapointed on diamond,he doznt even worth that name,eti alirekod ili wema asije kukataa badae!mxiiuuu alitaka kuprove nn?kweli elimu muhimu,mbona wkt yy anafundishwa kutamka YES NO wema hakumrekodi na kuanika ujinga wake?Mungu akusamehe bure"

" Unafahamu mungu angekuwa anaonyesha from day one unapokutana na mtu na kumpeda muwa yeye ni wa aina gani even wema asinge fall kwenye trap ya huyu msumbufu but dont worry haya ni mapito tu dear mungu anakunoa ili akupe mengi mema . na nilichogundua mimi jamaa anakupenda bado thats why hauishi midomoni mwake coz you too had your things back then and you done with him you have moved on with your life why is he still keep on talking about you? b'cozhe still loves you and he regrates to ever left you coz alipata kick sana na alivuma sana alipokuwa na wewe umemtoa he has to thank you for that uongo jamani???? so just ignore him coz he never was, or will ever be your type tell him wema ulikosea njia now you havef"


2 comments:

  1. oh feel i feel sorry for u
    diamond is mshamba
    u still the best no matter what

    ReplyDelete
  2. yo th best of th best no matter wat.. kip yo head up n move on sis frm anada mother... lyf z 2 short 2 thnk of sth wich pulls u back. forecast on yo future.. he myt nat admit it bt his stil in lov with ya, he cant move on til he fynds Sthng heavy 2 hate u. dats y anataka pandisha morare yako... chilax darls.. n hav a lyf.. lov u always

    ReplyDelete