Pages

Sunday, April 28, 2013

SHABIKI AWAANDIKIA BARUA YA KUWAPONDA NA KUWAPA USHAURI DIAMOND NA MAMA YAKE, UWOYA APONDWA.

Diamond ameandikiwa barua na shabiki akimponda kwa tabia yake ya kubadilisha wanawake kama nguo huku akiwa msanii ambaye ni kioo cha jamii. Alimpa ushauri pia huku Irene Uwoya naye akipondwa. Barua hii imeanza kusambaa kama moto wa kifuu huku jamaa huyo aliyeindika akianza kupata umaarufu kwa barua yake hiyo pia ambayo imemkosoa mama Diamond kwa kuangalia tabia za mwanaye bila kumkanya huku Diamond mwenyewe akijiita sukari ya warembo. watoa maoni wengi mitandaoni wameonekana kukubaliana na kilichiandikwa katika barua hiyo. Isome hapo chini...........
 
 
 
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 1021 MBEYA 
                    dear diamond.... 
sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa tz wew ni mmoja wapo.. napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha " nani amenuna nani amenuna eti nani amenuna" najua utakua umemalizia WEMA... katika kila shoo zako unazofanyaga mara nyingi huwa unataja kumheshim sana mama yako mzazi kutokana na malezi aliyokupa toka kipindi kile unauza MITUMBA.. lakini saiz unafanya mama wa watu aonekane alizaa toto zinzi ambalo kama limetumwa kuzini na kuumiza wanaume wenzie.. ivi unajua mke anauma kias gani hata kama wanajileta we ni mtu mzima ambaye unatakiwa kupembua mambo.... hasa kuhusu jambo la HILI MBURULA LENZIO UWOZO or SORY I mean UWOYA.. unajua kabisa 
 
kaka yetu NDIKU ambaye anafanya kazi ngumu ya kukabana na wakina NSAJIGWA NFUSO uwanjani ili apate chochte cha kulisha family yake lakini wew bila huruma una ramba asali yake... ivi unajua mtoto wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda shule wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto wa kambo wa DOMO huyo' ivi dear diamond mbna unataka mama yako asipewe heshma sababu ya wew hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da pple... najua hujaelewa coz elimu kwako ni tatizo utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya kusambaza.. hawa wanawake wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie penny akuambie maANA ya dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m four itakufksha wap.. na wew mama diamond ivi huoni anachofanya mwanao unashindwa kumshauli au unataka uje kumwambia akishaanza kuharisha na kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO naomba ukiiona hii itupie kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje Ambaye hatumiii fb asome mana kila siku amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua uovu wa aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS naamini itakutemblea diamond siku si nyingi kkupa matumizi saHII YA arv

wako shabiki nambA MOJA DUNIA NZIMA....... via mbele kuchungu 
From:http://www.facebook.com/pachito.eddy
 

No comments:

Post a Comment