Bongo5 moja ya mitandao maarufu ya burudani nchini imetoa orodha yake ya mastaa 20 wenye ushawishi mkubwa(20 most influential stars). mastaa hao wanatoka katika urembo, mitindo, uigizaji na muziki huku Wema Sepetu akiwa ndiye kinara kwa kushika namba 1. Wengine ni Masanja, Vanesa Mdee, Madam Rita, Jacob Stephen(JB), na wengineo. kwa msaada zaidi ingia hapa uone list hiyo kwa mujibu wa mtandao huo www.bongo5.com
Mi JB asipokuwepo kwenye movi walahi CD hiyo sinunui, Nampenda sana JB anaigiza vizuri na anauvaa uhalisia.
ReplyDeleteIna maana temeke muamasishaji mmoja tu......! Jokate mwegelo! Nature je........! Au temeke atuamasishi
ReplyDeleteNgoma ikivuma sana haipo mbali kuraruka
ReplyDelete