Monday, April 8, 2013

JACKLINE WOLPER WITH HER GREAT PERFORMANCE IN THE LATEST FILM "MR.NOBODY".

Actors in Swahiliwood are becoming more serious for accepting challenging roles in films to prove their acting prowess  na siyo kuendelea kucheza characters za kujionyesha kuwa ni matawi ya juu a.k.a characters za kibishoo. Ni jambo zuri hasa baada ya kuona actresses like Julieth Samson(Kemi) in My Life, Riyama Ally in The Dream and now Jackline Wolper in her latest release Mr. Nobody playing challenging role and delivered splendid performance. In Mr. Nobody Wolper anapata misukosuko kibao baada ya familia yake kuuliwa na majambazi then kumteka mpenzi wake Hisani Muya(Tino) hivyo wanamuambia Wolper atoe mil. 50 ili ampate mpenzi wake lakini Wolper anakuwa katika wakati mgumu zaidi ni kwa jinsi gani atapata hizo pesa huku bado akiwa na machungu ya kuuliwa kwa familia yake, Wolper na safari za porini kuwafuata hao majambazi hazikauki huku akitafuta mil.50 bila mafanikio.

 Filamu nyingine mpya za Wolper kama vile Pusy na Paku, Ulimi and Stuck on You zimetoka hivi karibuni but hakuwa na jipya zaidi ya kuonekana kucheza in wrong films with poor story and poor performances in those films  especially Pusy na Paku and Ulimi. But in Mr. Nobody by Lamata the sexy actress proves that she is talented and can play any character if the script is great. The whole film belongs to Wolper with great performance deserving award nomination for best actress in the lead . SWP ilipomtafuta Wolper na kumpa hongera for her performance in the film hakuwa na cha kusema zaidi ya kutoa ahsante na kusema atajitahidi zaidi ili kufanya vizuri zaidi katika films zake zijazo.



No comments:

Post a Comment