Pages

Friday, April 26, 2013

GRACE MAPUNDA, MUIGIZAJI MSAIDIZI ANAYEWAFUNIKA WAIGIZAJI WENGI WAKUU IN SWAHILIWOOD.

Grace Mapunda is a talented actress in Swahiliwood ambaye mara nyingi huwafunika waigizaji wakuu hasa wale ambao vipaji vyao havionekani bali wapo kwa ajili ya kuuza sura tu au producers huwa-cast kwa kuwa filamu zitauza lakini vipaji hawana. Hata wale wenye vipaji mara nyingi hupata upinzani mkubwa kutoka kwa Grace ambaye mara nyingi huigiza kama mama wa kiafrika anayepitia mateso mengi, huku pia baadhi ya filamu akiingiza kama mwanamke wa kisasa mwenye maadili au asiye na maadili kama mwanamke wa kiafrika. Katika nafasi za waigizaji wasaidizi wanaogiza kama mama wapo wengi wenye vipaji kama vile Fatma Makongoro(Bi. Mwenda), Chuma Suleiman( Bi. Hindu), Suzana Lewis(Natasha) lakini grace tayari amejijengea jina kubwa huku wakati mwingine akiwa kwenye filamu unaweza kufikiria kuwa yeye ndiye heroine(muigizaji mkuu) kumbe ni supporting actress kwa jinsi anavyouvaa uhusika wa aina mbalimbali ipasavyo. Baadhi ya waigizaji wakuu hasa wale wasio wabunifu wakati mwingine hubaki njia panda au kuonekana kukosa msaada wanapokuwa katika scene moja na muigizaji huyu talented. She has acted in many movies as a mother of almost all popular actors like the late Steven Kanumba, Vicent Kigosi, Yvony Cheryl(Monalisa), Elizabeth Michael(Lulu), Aunt Ezekiel, Riyama Ally, Ndumbagwe Misayo(Thea) and many more. And she has delivered great performances in many films including Family War, Hit Back, Matilda and Binti yangu.

                                                                Grace Mapunda

No comments:

Post a Comment