"Kiukwelikati
ya habari iliyonipa mshtuko mkubwa na iliyonifanya nikose nguvu ni
kitendo cha mama yangu Dotnata kulishwa SUMU......nazungumzia sumu
nikimaanisha sumu......mama yng hana matatizo na mtu...anacheka na kila
mtu.....anampenda kila mtu.....hana
ugomvi na mtu.....leo mtu unadiriki kumlisha sumu kweli?hayo ndio majibu
ya dr baada ya mama yng kuumwa kwa muda mrf majibu yametoka amelishwa
sumu ya kummaliza taratibu miezi nane iliyopita......nimeumia sana na
aliyefanya kitendo hk atalaaniwa na Mwenyezi Mungu......inshaallah
Utapona kwa uwezo wa Allah mama...pole sn...nipo pamoja nawe kwenye
maumivu haya unayopitia"
Tunampa pole sana Dotnata na tunamuombea kwa Mungu apone haraka.
Tunampa pole sana Dotnata na tunamuombea kwa Mungu apone haraka.
No comments:
Post a Comment