Mwanamuziki Diamond ametia team wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo Zanzibar alipoaitwa na katibu wa Wizara hiyo. Diamond aliongozana na Baby J mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar, Ruge Mutahaba from Clouds media group, G Love na Mr. Kusaga. Katibu huyo alisisitiza umoja kati ya wanamuziki wa bara na Zanzibar na Diamond aliitwa baada ya kuwa visiwani humo. Angalia picha............
images by thisisdiamond
No comments:
Post a Comment