Pages

Wednesday, April 3, 2013

DIAMOND AFUNIKA KATIKA SHOW BUKOBA.

Kama kawaida yake Diamond amefanya kweli katika show yake iliyofanyika Bukoba juzi kwa kujaza mashabiki wengi. Pia katika suala la mavazi ya stage akiwa juu kama kawa yeye na dancers wake kitu ambacho mpaka sasa hakuna mwanamuziki yeyote wa Tanznia aliyeweza kukifanya hata kwa wanamuziki wa kike siku zote wapo kawaida tu jukwaani katika suala la mavazi ila Diamond anatoa attention kubwa katika mavazi ya jukwaani kiasi cha kuwa na bajeti maalum kama wanamuziki wengi wa nje walivyo. Hongera kwa hilo Diamondddddddddddddd.
 Show ya Bukoba ilikuwa hivi..................

                                                         images by this is diamond

No comments:

Post a Comment