Pages

Sunday, April 14, 2013

COLETHA: WASANII TUJIHESHIMU NA KUACHA UBINAFSI, CHUKI, UMBEYA NA FITINA..

Actress Coletha Raymond amefunguka kuwa ni lazima wasanii wa tasnia ya filamu wajiheshimu kwakuwa wapo baadhi hawajiheshimu na mwisho wa siku huchafua wenzao wanaojiheshimu na tasnia nzima. Pia muigizaji huyo aliyejaaliwa mvuto wa umbo na sura alisema ni lazima pia wasanii wapendane na kuacha majungu na fitna ili tasnia hii ifike mbali. Coletha aliyasema hayo alipoulizwa na Swahiliworldplanet kuwa ni kitu gani hakipendi kwenye tasnia ya filamu na angependa kisiwepo tena "tabia ya wanawake na wanaume kutojiheshimu,,,,,ubinafc na chuki...umbeya,,fitina na kutopendana"

No comments:

Post a Comment