Monday, March 18, 2013

TANZANIAN DESIGNER SHERIA NGOWI APATA DEAL LA KUIVALISHA TAIFA STARS.

Tanzanian fashion designer Sheria Ngowi amepata deal la kuivalisha Taifa stars kitu ambacho kinatia moyo kuona designers wa Tanzania now wanaanza kuthaminiwa na kazi zao kuonekana ni bora tofauti na siku za nyuma kuona nguo nzuri za zenye ubora lazima zitoke nje ya nchi pekee. on his facebook acocount he wrote "It's Official:Tanzania Football team (Taifa Stars) Dressed By Sheria Ngowi."
Hongera Sheria kwa kazi nzuri. Look at his designs below 


No comments:

Post a Comment