Pages

Saturday, March 16, 2013

SHABIKI AMTIBUA LULU KUHUSU KANUMBA ON TWITTER.

Shabiki mmoja leo ameonekana kumtibua Tanzanian top actress Elizabeth Michael(Lulu) katika page yake ya twitter ambapo Lulu aliandika yake ya moyoni kuhusu Kanumba aliyefariki mwaka jana na Lulu kutuhumiwa kwa kifo chacke bila kukusudia. Shabiki huyo alionekana kumpenda marehemu Kanumba hivyo kuandika kama sio Lulu jembe lake (Kanumba ) lingekuwepo na pia kumsema Lulu kwa issue zake za kimapenzi na Kanumba, Lulu alionekana kujijibu kwa ustaarabu lakini jamaa huyo kutojali na kumjia juu Lulu kuwa asimuite kaka, hivyo Lulu nae kuonyesha kutopendezwa na comment za jamaa huyo na kumuambia sio lazima a-comment tweet zake . Baada ya mtifuano huo Lulu aliandika "Sitoyumbishwa na maneno ya mtu yyte!l have GOD n my side!nawashukuru marafiki na maadui pia!bila challenges nisingeweza kufika hapa!!. Hata hivyo mashabiki wengine walionekana kumfariji Lulu na kutomjali jamaa huyo. Jionee mwenyewe................

 

No comments:

Post a Comment