Pages

Sunday, March 17, 2013

LULU FLAUNTS NEW HAIRSTYLE, SHE READS BIBLE AND NOVELS MOST OF HER TIME !

Muigizaji Elizabeth Michael(Lulu) has posted photos showing her latest hairstyle akiwa amesuka mtindo matata wa rasta hivyo watu kujua kweli Lulu yupo mjini currently, aliandika " ". Pia tangu jana amezidi kupata followers wengi katika twitter baada ya mitandao mbalimbali ukiwemo huu kuweka akaunti yake ya twitter ambayo wengi walikuwa hawaijui na pia haikuwa active kutokana na kutoitumia kwa muda mrefu. Tangu jana mpaka sasa lulu amepata followers wanaokaribia 1000. Also the buzz is that the talented actress now uses most of her time reading bible and novels  kitu ambacho kimewashangaza wengi na kuamini kweli Lulu ametulia baada ya kukumbwa na masahibu hivyo anajipanga kurudi shule kukabiliana na vitabu vya darasani. Lulu is known for her performances in many films including family Disaster, House Boy, Tattoo, Oxgen and Ripple of Tears. Look at her new hairstyle below........

No comments:

Post a Comment