Pages

Friday, March 29, 2013

LUCY KOMBA TO LAUNCH HER FILM IN DENMARK, PIA KUANZA KUZISAMBAZA FILMS ZAKE NCHINI HUMO.

Lucy Komba who is one of the talented actresses in Swahiliwood anakuja na film mpya ya NO 1 OUT which also stars Dino, Niva and Mzee Chilo. the film inaonekana kuwa ya visasi kwa sana na mapenzi. It's teaser poster which is already out looks hot and Lucy Komba anaonekana kufanya makubwa in the film.

And kwa upande mwingine akizungumza na Swahiliworldplanet the hard working actress amesema kuwa filamu yake ya From Tanzania To Denmark itazinduliwa nchini Denmark kwa kuwa ameigiza na actors wa huko na kushirikiana na kampuni ya VAD Production ambayo inatengeneza films za kiswahili nchini humo and baada ya uzinduzi filamu hiyo itaingia sokoni. "From Tanzania To Denmark pia itategemewa na kuzinduliwa kwa sababu lazima niirudishe Denmark kwa ajili ya uzinduzi nikishirikiana na kampuni ya  VAD PRODUKTION ya anchini Denmark kwa kuwa ndiyo tulioshirikiana kuitengeneza baada ya hapo ndiyo utafanyika utaratibu wa kuiingiza sokoni".

Pia Lucy ana mpango wa kuziingiza sokoni nchini Denmark films zake ambazo tayari zilishatoka hapa nchini kwa kuwa Denmark wanapenda films za kiswahili lakini hawazipati kwa kuwa wasambazaji wa nchini hawazisambazi huko licha ya kuonekana kupendwa . Huu ni mwanzo mzuri sana wa kushirikiana kikazi kati ya nchi hizi mbili.

Hongera sana Lucy kwa kuwa na mikakati madhubuti ili kazi zako zifike mbali.
                                                        

No comments:

Post a Comment