Pages

Thursday, March 21, 2013

JACKLINE WOLPER ANUSURIKA AJALINI.

Actress Jackline Wolper amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na gari jingine maeneo ya Kijitonyama. Hata hivyo Wolper hakuumia but gari lake liliharibika kwa mbele. Akizungumza na mwandishi wa globalpublishers the Tanzanian top actress alisema kuwa alikuwa njiani kuelekea gereji kuafuata gari lake halisi na alilokuwa anaendesha siyo lake "Nilikuwa na mdogo wangu tunaelekea gereji kufuata gari langu, hili nililopata malo ajali siyo la kwangu sijui itakuwaje!".

                                                      Gari alilopata nalo ajali
                   Swahiliwood actress Jackline Wolper

No comments:

Post a Comment