Pages

Sunday, March 24, 2013

JACKIE WA CHUZI AOLEWA KIMYA KIMYA.

 Actress mwenye skendo kibao Jackline Pentezel( Jack wa Chuzi) ameolewa kwa ndoa ya kiislamu wiki hii kimya kimya na jamaa mmoja anayeitwa Gadner Dibibi. Licha ya ndoa hiyo  kuwa ya kweli lakini baadhi ya watu wakiwemo waigiuzaji wenzake walioulizwa na Swahiliworldplanet walionekana kutoamini hasa baada ya hivi karibuni mrembo huyo kuripotiwa na gazeti moja kuwa anajiuza. Isabela Mpanda rafiki wa karibu wa Jackline Pentezel pia ameweka picha za harusi ya shostito wake huyo facebook.
muigizaji mmoja ambaye ameshacheza filamu zaidi ya moja na Jack alipoulizwa kama anajua Jack kaolewa alisema "mhh makubwaaaa...hata ckualikwa na cjui"

Tunamtakia Jackline maisha mema ya ndoa na atulie ili asije kujitia aibu katika ndoa yake kama kweli ameamua kuolewa. Angalia picha za ndoa hiyo....

No comments:

Post a Comment