Pages

Wednesday, March 20, 2013

HAPPY BIRTHDAY HOYCE TEMU(TANZANIAN HEROINE).

Miss Tanzania in 1999 Hoyce Temu ambaye ni mrembo wa kukumbukwa katika historia ya Miss Tanzania mpaka sasa kwa kuwa karibu zaidi na jamii na pia mmoja wa warembo wa taji hilo asiye na makuu anaadhimisha Birthday yake leo. Hoyce ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi maarufu cha Mimi na Tanzania kupitia Chanel Ten ameonyesha taswira halisi ya kuwa beauty with purpose na siyo beauty with scandals au kutokuwa karibu na Jamii.

Lets pray for our heroine to have more success and blessed life and live miaka zaidi ya 100 katika harakati zake za kusaidia jamii hasa zilizosahaulika.


No comments:

Post a Comment