Tanzanian fashion designer Hameed Abdul has said that fans wa kazi zake za mitindo watarajie mambo mazuri this year since anakuja na collection itakayodhihirisha kuwa yeye ni nani, Pia designer huyo anayependelea zaidi kutumia mitindo ya kiafrika katika kazi zake amesema kuwa ana mpango wa kufanya fashion show yake mwaka huu ili azidi kutangaza kazi zake. Alipochonga na swahiliworld Hameed said "Kiukweli mikakati yangu kwa mwaka huu fans wangu watarajie mengi
mazuri kutoka kwangu, nipo kimya kidogo kwa sasa but nakuja na bonge
la collection,all ma fans wakae mkao wa kula, nataka niandae show" . see some of his designs below.........
if you would like to buy his designs contact him through his facebook account here
http://www.facebook.com/hameed.abdul.965
Right is designer Hameed
No comments:
Post a Comment