Tuesday, March 26, 2013

DIAMOND PLATINUMZ AMEREMETA KATIKA VAZI LA KIAFRIKA.

Last Friday one of east Africa's top musician Diamond Platinumz alitinga vazi la kiafrika ambalo mara nyingi huvaliwa na wanaigeria. vazi hilo linaonekana kuwa la gharama akiwa amelivaa siku hiyo ya ijumaa lakini SWP ilishindwa kujua mara moja kama alienda msikitini au lah!. Hata hivyo licha ya vazi hilo kumpendeza lakini the Tanzanian popular singer aliharibu kwa kuvaa vazi hilo na kipuli tena kwa siku hiyo ya ijumaa ambayo ni ya ibada kwa dini yake ya kiislamu wakati vazi hilo huwa la heshima zaidi mara nyingi. Diamond alikuwa nyumbani kwao Sinza kwa ajili ya kula msosi pamoja na familia yake. Msosi huo uliandaliwa na mama yake kipenzi Sandra. Have a look.......

                                                            images by this is diamond.com

No comments:

Post a Comment