Monday, March 18, 2013

DIAMOND APIGA SHOW YA MAANA MUSOMA AKIWA KATIKA MAVAZI YA KIPEKEE.

Tarehe 16 juzi jumamosi Tanzania A-list musician Diamond Platinumz alipiga show huko musoma akiwa katika mavazi ya kipekee kama kawaida yake kitu kinachomfanya dogo huyo kuzidi kuteka watu katika shows zake kwa kutotabirika kimavazi licha ya kukamua shows za kufa mtu mara kwa mara. Jionee........

                                          His dancers
                                             for more photos visit www.thisisdiamond.com




No comments:

Post a Comment