Tarehe 16 juzi jumamosi Tanzania A-list musician Diamond Platinumz alipiga show huko musoma akiwa katika mavazi ya kipekee kama kawaida yake kitu kinachomfanya dogo huyo kuzidi kuteka watu katika shows zake kwa kutotabirika kimavazi licha ya kukamua shows za kufa mtu mara kwa mara. Jionee........
His dancers
for more photos visit
www.thisisdiamond.com
No comments:
Post a Comment