Pages

Saturday, March 30, 2013

DEMU APIGWA NA BOYFRIEND WAKE KWA KUNYONYA CHUCHU ZA DIAMOND JUKWAANI, MASHABIKI WASABABISHA HASARA HOTELINI WAKITAKA KUMUONA DIAMOND.

Diamond amezua timbwili kwa wapenzi wawili juzi huko Kahama baada ya msichana mmoja ambaye ni shabiki wa Diamond kupanda jukwaani na kumnyonya Diamond chuchu zake wakati mwanamuziki huyo akiendelea kutumbuiza jukwaani hivyo kuwaacha watu wakipigwa na butwaa kwa kitendo cha demu huyo aliyeonyesha kumzimia star huyo. Jamaa mmoja ambaye anadaiwa kuwa boyfriend wa Demu huyo alipandwa na hasira hivyo kumshushia mvua ya makofi demu huyo. Angalia picha demu huyo akijisevia kifuani kwa Diamond bila aibu!. Then angalia picha nyingine chini za mashabiki wa Diamond hotelini.


demu akinyonya chuchu za Diamond
akilia baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa jamaa yake
Kwa upande mwingine mashabiki wa mwanamuziki huyo mkoani Geita wamesababisha hasara katika hotel aliyofikia mwanamuziki huyo kwa takribani saa zima wakiwa wamekaa getini kutaka kumuona mwanamuziki huyo na kusalimiana nae kitu kinachoonyesha Diamond anakubalika kwa mashabiki wa rika zote. Mwanamuziki huyo ilibidi aitwe na uongozi wa hoteli hiyo ili akaone mashabiki wake nje ili kutatua tatizo hilo. Angalia picha hizoooooooooo......

                                                                 images by this is diamond


No comments:

Post a Comment